Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

Kama Kiongozi Mwandamiz Ndan Ya Simba, Itakuwa Makosa Makubwa Kuyafanya Kama Wachezaji Kama Hao Watabaki
 
KILAMTU ASHINDE KWAO - [emoji23][emoji23]
 
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
acha mihemko wewe..... acha kutuletea uchuro wa kitopolo hapa.. kufungwa ni sehem ya mchezo... mbona na sisi tulishinda magoli kama hayo?? ukiwacha akina zimbwe, kapombe, kibu, kwa sasa ni wachezaji gani wa ndani walipo Kwenye form na wanaweza kucheza match za kimataifa wakatuingiza hadi robo finali kama walivyofanya hawa..??
 
Ni Kwamba Wamechoka
Hapo Mohamed Hussein kinamwondoa nini labda? Maana utupatie na sababu za Kila mmoja kutaka aondoke.
Kibu Denis Kwa umri wake bado ana mengi ya kujifunza, Kwa hiyo anastahili kupewa Muda zaidi.
Shomari Kapombe na Juma Shaban wa Yanga ni kama wanaendana umri, cha kufanya ni kutafuta beki wa umri mdogo na yeye abaki kama back up ya regular stater.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.

MIMI NAHISI UKITAJA MAJINA YA WACHEZAJI WA KUONDOKA UTAJE NA MBADALA WAO ESPECIALLY KWA WACHEZAJI WA NDANI AMBAO KWENYE LIGI TUNAWAONA KILA SIKU ITAKUWA RAHISI SISI KUKUELEWA ULICHOONA MPAKA UNAPENDEKEZA TUWATOE MSIMU UJAO
 
Back
Top Bottom