Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

Naweza Kusema Tu Kapombe na Mohamed Hisein wabaki Kwa muda tukipanga Kupata wengine..Ila yje rest fukuza
 
Haha unafananisha simba na madrid? mwenzako hakuna alichopoteza japo amepgwa nne.
Kwani Simba kapoteza nini? Najua atakuwa bingwa Madrid Ila ujue lazima akomae kushinda akitetereka tu imekula kwake ni km Simba akishinda tu tena goli moja Yuko robo final
 
Ghafla sana huwa mnabadilika kosa mlilofanya hamkuondoka na hawa waamuzi wenu wa hapa bongo wanaowaachiaga magoli ya offside na kuwazawadia penati!
Wrong kwani kuna timu imeshinda away be positive
 
Back
Top Bottom