Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.

Wewe ni utopolo fc aka chawa wa ccm,timu yetu ya simba hatuna taratibu huu kila msimu kusajili timu mpya zaidi ya kuacha wachezaji wa 3 na kuongeza 4
 
Ndio mchezo wake akipangwa na winga mwenye kasi huwa ni tatizo
Watu tunajisahau tu ila kapombe ,zimbwe sio wazuri kama timu aina mpra na sio wazuri katka kukaba sio mara moja wala mara mbil simba mara nyingi inafungwa kwa sababu ya makosa ya wao kupitika kirahisi ata jina la adebayo yule wa gendar ya niger aliwatesa sana mechi ya kwao ni vile tu hatukufungwa , ni inonga tu ambae man to man anaweza kukosea mara chache lkn onyango kapombe zimbwe sio wazur ktk kuzuia asa mipira ya kukimbiza ,narudia tena mara kwa mara kama sio siasa na kubebana ktk mpra wetu simba wangekua mbal sana miaka hii endapo tu wangekua wanafanyia kaz makosa yao kila msimu ,mfano kuna msimu walitolewa na kaizer chiefs tena kwa kufungwa na kuonyeshwa madhaifu yao ktk timu cha ajabu msimu unaofuata wanadanganyana kufanya vile kufanya vzur zaid kwa wachezaj wale wale sana sana eneo la mbele ,kuna muda hiz timu zetu siasa na maneno ndio zinarudishwa nyuma kwa mtu ata ambae sio kocha anajua shida ya simba inaanzia wap na inaishia wap ila ukifka usajir kaz kubebana tu na ikitokea wameshinda bas wanajisahau
 
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
We kweli Buhoro mbonge...

Bila shaka utopolo mnatafuta fullback wawili. Yaani Kapombe na Zimbwe🤣
 
hatuna kiungo mkabaji mzuri halafu unasikia kiongozi anatamka tu tutasajili nafasi fulani
 
Team of the Week, kwa mara nyingine Simba imetoa mchezaji:

1647864482798.png
 
Mimi ninachokiona kwa wachezaji wetu.wanacheza kama wako mazoezin.Hawamsumbui golkpa kwa mashuti kwa maana yanakuwa machache golini .hata wapinzan wanapata nguvu ya kushambulia
 
ingawa mimi ni mwananchi huru wa injii hii, kwa zimbwe nakukataria kata kata
 
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
acha mihemko wewe..... acha kutuletea uchuro wa kitopolo hapa.. kufungwa ni sehem ya mchezo... mbona na sisi tulishinda magoli kama hayo?? ukiwacha akina zimbwe, kapombe, kibu, kwa sasa ni wachezaji gani wa ndani walipo Kwenye form na wanaweza kucheza match za kimataifa wakatuingiza hadi robo finali kama walivyofanya hawa..??

Sasa mbona mnaparuana kama vile mna hisa pale Msimbazi! 😁😁
 
Back
Top Bottom