Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
Ila siku ya jana Zimbwe ameniudhi sana, ningekuwa karibu ningemzaba kibao. Yaani amepigwa chenga badala ya kukaba anakimbilia golini! So what?Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
Ndio mchezo wake akipangwa na winga mwenye kasi huwa ni tatizoIla siku ya jana Zimbwe ameniudhi sana, ningekuwa karibu ningemzaba kibao. Yaani amepigwa chenga badala ya kukaba anakimbilia golini! So what?
Maneno ya wafungwa hayaKufungwa kupo, kafungwa Madrid NNE Jana sembuse Simba?
Watu tunajisahau tu ila kapombe ,zimbwe sio wazuri kama timu aina mpra na sio wazuri katka kukaba sio mara moja wala mara mbil simba mara nyingi inafungwa kwa sababu ya makosa ya wao kupitika kirahisi ata jina la adebayo yule wa gendar ya niger aliwatesa sana mechi ya kwao ni vile tu hatukufungwa , ni inonga tu ambae man to man anaweza kukosea mara chache lkn onyango kapombe zimbwe sio wazur ktk kuzuia asa mipira ya kukimbiza ,narudia tena mara kwa mara kama sio siasa na kubebana ktk mpra wetu simba wangekua mbal sana miaka hii endapo tu wangekua wanafanyia kaz makosa yao kila msimu ,mfano kuna msimu walitolewa na kaizer chiefs tena kwa kufungwa na kuonyeshwa madhaifu yao ktk timu cha ajabu msimu unaofuata wanadanganyana kufanya vile kufanya vzur zaid kwa wachezaj wale wale sana sana eneo la mbele ,kuna muda hiz timu zetu siasa na maneno ndio zinarudishwa nyuma kwa mtu ata ambae sio kocha anajua shida ya simba inaanzia wap na inaishia wap ila ukifka usajir kaz kubebana tu na ikitokea wameshinda bas wanajisahauNdio mchezo wake akipangwa na winga mwenye kasi huwa ni tatizo
unafananisha madrid na mataka takaKufungwa kupo, kafungwa Madrid NNE Jana sembuse Simba?
We kweli Buhoro mbonge...Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
hatuna kiungo mkabaji mzuri halafu unasikia kiongozi anatamka tu tutasajili nafasi fulaniWatu tunajisahau tu ila kapombe ,zimbwe sio wazuri kama timu aina mpra na sio wazuri katka kukaba sio mara moja wala mara mbil simba mara nyingi inafungwa kwa sababu ya makosa ya wao kupitika kirahisi ata jina la adebayo yule wa gendar ya niger aliwatesa sana mechi ya kwao ni vile tu hatukufungwa , ni inonga tu ambae man to man anaweza kukosea mara chache lkn onyango kapombe zimbwe sio wazur ktk kuzuia asa mipira ya kukimbiza ,narudia tena mara kwa mara kama sio siasa na kubebana ktk mpra wetu simba wangekua mbal sana miaka hii endapo tu wangekua wanafanyia kaz makosa yao kila msimu ,mfano kuna msimu walitolewa na kaizer chiefs tena kwa kufungwa na kuonyeshwa madhaifu yao ktk timu cha ajabu msimu unaofuata wanadanganyana kufanya vile kufanya vzur zaid kwa wachezaj wale wale sana sana eneo la mbele ,kuna muda hiz timu zetu siasa na maneno ndio zinarudishwa nyuma kwa mtu ata ambae sio kocha anajua shida ya simba inaanzia wap na inaishia wap ila ukifka usajir kaz kubebana tu na ikitokea wameshinda bas wanajisahau
Kwani simba hawezi kupataHaha unafananisha simba na madrid? mwenzako hakuna alichopoteza japo amepgwa nne.
Mikia 3Kwani Simba kapoteza nini?
Mbona tayari kapata kitu 3G swaaafi kabsaKwani simba hawezi kupata
Waulize MAKOLO wenzio kuwa ni kipi haswa kinachowatoa mapovu ikiwa Manyau nyau FC hakupoteza chochote kwa mechi ya jana[emoji848][emoji1787]Kwani Simba kapoteza nini?
Narudia tena sisi MAKOLO kwa Sakho tumepigwa[emoji2960][emoji849]Heee [emoji44] Si Ni Juzi Humu Zilianzishwa Threads Za Kuwasifia Wachezaji Wa Simba Kama Huyo Zimbwe, Leo Hamumtaki Tena? [emoji23]
Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
acha mihemko wewe..... acha kutuletea uchuro wa kitopolo hapa.. kufungwa ni sehem ya mchezo... mbona na sisi tulishinda magoli kama hayo?? ukiwacha akina zimbwe, kapombe, kibu, kwa sasa ni wachezaji gani wa ndani walipo Kwenye form na wanaweza kucheza match za kimataifa wakatuingiza hadi robo finali kama walivyofanya hawa..??
Mwambie mama nijazie akuwekee "MKOMBOTI" wa jero nakuja kulipa mimi.Kufungwa kupo, kafungwa Madrid NNE Jana sembuse Simba?