Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga Ihefu wanacheza huwa kazi yangu ni kumcheki Tchakei tu roho yangu inaburudika sana, huwa najiuliza kwanini SImba inaokoteza wachezaji kama Onana, Babacar halafu inawaacha wachezaji wenye uwezo namna hii.
Yaani Ihefu wanajua kuselect wachezaji kuliko Simba kweli? Halafu kuna fowadi yule Elvan Rupia, mnene, mfupi, ana nguvu, ana control, yule mkenya ni hatari kuliko huyo huyo mjinga anaitwa Freddy Michael, Rupia ni striker haswa, katika mastriker wa kigeni waliopo hapa nchini Rupia kwangu ni namba moja.
Hao akina Freddy cjui Jobe cjui Guede cjui Kagere cjui Chirwa hawana ishu kwa jamaa huyu, huyu jamaa ni mtu na nusu.