Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

We jamaa huwaga unashangaza kwani mchambuzi kuwa mshabiki wa timu Fulani nayo ni ajabu
Sijasema ni ajabu, nimeandika hivyo nikijua mawazo ya mashabiki wengi wa Yanga wameanishwa vibaya na Manara

Kuwa huyo ni mchambuzi asiyeitakia mema Yanga kwasababu tu anaisema negative Yanga
 
mchambuzi ni kazi na anatakiwa kuwa professional na mda huo huo ana uhuru wa kushabikia timu anayoipenda sababu yeye ni binadamu

Ukweli ni kwamba kisinda hamna mchezaj pale

Na huyo manara mbona alivyokua Simba mlikua mnamuimbia mapambio, Leo mnamuona mbaya Tanzania wanaongoza kwa unafki
 
Jamaa hajajua nia yako ya kutoa tahadhari kuwa Oruma ni shabiki wa Yanga.
 
We jamaa huwaga unashangaza kwani mchambuzi kuwa mshabiki wa timu Fulani nayo ni ajabu
Read between the line mkuu, kusema hivyo manaake aliamua kuuweka ushabiki pembeni na kutoa donge alilokuwa nalo moyoni.
 
Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia akiongea nani wa kumpinga?! Kamati za usajili fanyieni kazi ushauri wake.
 
mchambuzi ni kazi na anatakiwa kuwa professional na mda huo huo ana uhuru wa kushabikia timu anayoipenda sababu yeye ni binadamu

Ukweli ni kwamba kisinda hamna mchezaj pale

Na huyo manara mbona alivyokua Simba mlikua mnamuimbia mapambio, Leo mnamuona mbaya Tanzania wanaongoza kwa unafki
Kumumbia mapambio ni kitu kingine, na kumuacha atuendeshe kwa personal feelings zake dhidi ya wengine ni jambo jingine
 
"Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini"

Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma.

My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
basi mwambie huyo oruma akaanzishe timu yake awasajili hao wachezaji walioko tandika
 
Kumumbia mapambio ni kitu kingine, na kumuacha atuendeshe kwa personal feelings zake dhidi ya wengine ni jambo jingine
We ndo anayekuendesha na personal feeling zake na sio watu wengine kama sisi, tusitoe yetu ya moyoni kwa sababu ya kumuogopa manara huo si ujinga wa mwisho
 
Hayo unayoyataja kuwa "Yenu ya moyoni" si baada ya kuwekwa na Manara

Manara ndio kawaaminisha kuwa hao watu ni adui wa Yanga na nyie mkaingia kingi
 
manara ni nani kwenye football sababu mim nasikiliza radio kama ni kuiponda yanga ikifanya vibaya watu wanaiponda mfano yanga ilifungwa na Al ahaly watu waliongea yao ya moyoni bila kumuogopa manara haya ya manara kuwapa watu kibali cha kuongea ndo nasikia kwako
 
Read between the line mkuu, kusema hivyo manaake aliamua kuuweka ushabiki pembeni na kutoa donge alilokuwa nalo moyoni.
Huyo jamaa uelewa wake mdogo atakusumbua ni miongoni mwa wale mashabiki wa yanga waliokuwa wanaenda airport kupokea wageni
 
wamejaa bwelele tena kwa Yanga hata bure wanakubali kusajiliwa.
 
Back
Top Bottom