Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

Mnafikiri mpira rahisi nyie kuna wakat lazma mtu a drop performance yanatokea ulaya sembuse bongo Alexis Sanchez Man u
 
Kusema ukweli pale kwa Kisinda, Utopolo walipigwa....ila ndo hivo tena Amphibia hawanaga akili..wanasajili wakimbiaji badala ya kusajili wachezaji.
 
Na msisahau kuna mmoja kanenepa huyo mpaka papaa zahera akauliza kwani mihogo inanenepesha mana si kwa ndambi lile
 
"Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini"

Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma.

My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Maajabu ya Dunia Kisinda kuanza Farid anasugua benchi! hii ni kwa Yanga tu 😀
 
Back
Top Bottom