OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
We jamaa huwaga unashangaza kwani mchambuzi kuwa mshabiki wa timu Fulani nayo ni ajabuWilson Oruma ni mchambuzi ambaye ni Yanga kindakindaki na aliumia sana kwenye matokeo ya juzi
Sijasema ni ajabu, nimeandika hivyo nikijua mawazo ya mashabiki wengi wa Yanga wameanishwa vibaya na ManaraWe jamaa huwaga unashangaza kwani mchambuzi kuwa mshabiki wa timu Fulani nayo ni ajabu
mchambuzi ni kazi na anatakiwa kuwa professional na mda huo huo ana uhuru wa kushabikia timu anayoipenda sababu yeye ni binadamuSijasema ni ajabu, nimeandika hivyo nikijua mawazo ya mashabiki wengi wa Yanga wameanishwa vibaya na Manara
Kuwa huyo ni mchambuzi asiyeitakia mema Yanga kwasababu tu anaisema negative Yanga
Jamaa hajajua nia yako ya kutoa tahadhari kuwa Oruma ni shabiki wa Yanga.Sijasema ni ajabu, nimeandika hivyo nikijua mawazo ya mashabiki wengi wa Yanga wameanishwa vibaya na Manara
Kuwa huyo ni mchambuzi asiyeitakia mema Yanga kwasababu tu anaisema negative Yanga
Read between the line mkuu, kusema hivyo manaake aliamua kuuweka ushabiki pembeni na kutoa donge alilokuwa nalo moyoni.We jamaa huwaga unashangaza kwani mchambuzi kuwa mshabiki wa timu Fulani nayo ni ajabu
Kumumbia mapambio ni kitu kingine, na kumuacha atuendeshe kwa personal feelings zake dhidi ya wengine ni jambo jinginemchambuzi ni kazi na anatakiwa kuwa professional na mda huo huo ana uhuru wa kushabikia timu anayoipenda sababu yeye ni binadamu
Ukweli ni kwamba kisinda hamna mchezaj pale
Na huyo manara mbona alivyokua Simba mlikua mnamuimbia mapambio, Leo mnamuona mbaya Tanzania wanaongoza kwa unafki
basi mwambie huyo oruma akaanzishe timu yake awasajili hao wachezaji walioko tandika"Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini"
Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma.
My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
We ndo anayekuendesha na personal feeling zake na sio watu wengine kama sisi, tusitoe yetu ya moyoni kwa sababu ya kumuogopa manara huo si ujinga wa mwishoKumumbia mapambio ni kitu kingine, na kumuacha atuendeshe kwa personal feelings zake dhidi ya wengine ni jambo jingine
Hayo unayoyataja kuwa "Yenu ya moyoni" si baada ya kuwekwa na ManaraWe ndo anayekuendesha na personal feeling zake na sio watu wengine kama sisi, tusitoe yetu ya moyoni kwa sababu ya kumuogopa manara huo si ujinga wa mwisho
manara ni nani kwenye football sababu mim nasikiliza radio kama ni kuiponda yanga ikifanya vibaya watu wanaiponda mfano yanga ilifungwa na Al ahaly watu waliongea yao ya moyoni bila kumuogopa manara haya ya manara kuwapa watu kibali cha kuongea ndo nasikia kwakoHayo unayoyataja kuwa "Yenu ya moyoni" si baada ya kuwekwa na Manara
Manara ndio kawaaminisha kuwa hao watu ni adui wa Yanga na nyie mkaingia kingi
Huyo jamaa uelewa wake mdogo atakusumbua ni miongoni mwa wale mashabiki wa yanga waliokuwa wanaenda airport kupokea wageniRead between the line mkuu, kusema hivyo manaake aliamua kuuweka ushabiki pembeni na kutoa donge alilokuwa nalo moyoni.