Wachezaji kama Makame wa Fountain Gate wanapaswa kujitambua

Wachezaji kama Makame wa Fountain Gate wanapaswa kujitambua

GSM ana ushawishi mkubwa katika timu ndiyo maana hadi mfanyakazi wake ndiyo anasimamia kila kitu pale Yanga.

Hayo makaratasi ya katiba ni makaratasi tu ndiyo maana timu inajivalia tu majezi kinyume cha matakwa ya hiyo hiyo katiba. Na ndiyo maana anaimbwa yeye na siyo SportPesa ambaye kwenye vitabu ndiyo anatoa pesa nyingi mara dufu ya anayotoa GSM.

Na ni kwa sababu ya ushawishi huo ndiyo maana watu wana wasiwasi kuwa atatumia ushawishi huo alionao ndani ya Yanga kuhakikisha kuwa udhamini wake ndani ya timu zingine unainufaisha Yanga. Uzuri alijisnichi mwenyewe kwa kauli zake za "Yanga Bingwa".

Ungekuwa na uelewa hata kidogo wa mambo ya sheria usingekaza kaubongo kako hako ka jongoo.
Muambieni mo mzee b 20 nae adhamini timu 10 za ligi
 
GSM anaimbwa Yanga inapofunga magoli, mbona haimbwi mdhamini mkuu SportPesa. Mnadhani mnadili na watoto wa chekechea?
Unawapangia watu maisha???
Mbona huku tunamuimba sana Makonda wakati raisi ni SSH.

Mbona mnamuimba Ahoua wakati kocha ni Fadlu

Tuna wadhamini wengi ila ambaye yuko karibu na timu zaidi ni GSM

Ulitaka goli likifungwa tuimbe Visit Zanzibar au Afya water

Gusa Achia Waji-kijili
 
Kwa hiyo unataka walegeze kwa simba pia. Rage ajengewe mara maana viongozi wenu wanawaona mipang'ang'a

Muambieni mo mzee b 20 nae adhamini timu 10 za ligi

Unawapangia watu maisha???
Mbona huku tunamuimba sana Makonda wakati raisi ni SSH.

Mbona mnamuimba Ahoua wakati kocha ni Fadlu

Tuna wadhamini wengi ila ambaye yuko karibu na timu zaidi ni GSM

Ulitaka goli likifungwa tuimbe Visit Zanzibar au Afya water

Gusa Achia Waji-kijili
Kama hoja zenu ndiyo hizo kweli nimewashika pabaya.
 
Hii mada nimeshaichangia vya kutosha, nitakuwa narudia tu majibu yangu maana majibu yenu na nyie ni yale yale tu.

Kukurahisishia tu, GSM kama siyo mmiliki ni nani? Maana ndiye anayeimbwa mkifunga magoli na siyo SportPesa ambaye ndiye mdhamini mkuu wa klabu.

Azam Media inadhamini ligi kwa kupitia mkataba wake na TFF. Azam FC ni timu. Haya ni makampuni mawili tofauti.

Mwisho, mnajichanganya na inaonyesha hamna jibu mnaloliamini pale mnapotumia Bakhresa kama mfano wa kuonyesha kuwa inaruhusiwa kumiliki timu na kudhamini timu zaidi ya moja wakati huo huo mnamkana GSM kuwa siyo mmiliki wa Yanga. Kama GSM siyo mmiliki wa Yanga, kwa nini mnatumia mfano wa Bakhresa mnayeamini ndiye mmiliki wa Azam FC na Azam Media?
Na wewe utujibu, haudhaminiwi na GSM, lakini Yanga kawafunga mara 4 mfululizo mmelipwa kiasi gani? Maana sio bure, mmechangia pointing 12.
 
Back
Top Bottom