Wachezaji wengi wa kitanzania huwa hawajitambui kama ilivyo kwa beki Makame.
Mchezaji huyo alishapata uhakika wa kucheza yanga na kwa akili zake kama zilivyokuwa za wachezaji wengi wa kibongo ama waafrika wasiojitambua,alicheza chini ya kiwango ili timu inayotarajia kumsajili ifunge goli nyingi.
Saidi hakujua mchezo uliokuwepo maana anaamini timu yake imekiwasha kiukweli.Basi ile kuona beki anayetaka kusajiliwa na yanga ni Makame, akaamua kukataa hilo dili akijua jamaa kiwango kipo chini sana.Kumbe yale yalikuwa maigizo ila mzungu hajui.
Sasa wachezaji kama Makame ni wengi sana hapa nchini.Unazi unawafanya washindwe kutoa jasho kuonesha uwezo wao.
Hii ndio dawa yao
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app