kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Asante kwa mwaliko kambale mnene naomba nirudi hapa kuchangia baada ya fainali nina sababu zangu za kiroho kusema hivyo[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mada hii ni yakiroho,ya jicho la tatu, haitaki matusi.
Utamaduni wa kubadirishana jezi umetokea ulaya,huku kwetu hautufai kwani kwa jicho la kiroho njia rahisi ya kuua vipaji vya wachezaji kupitia tamaduni za kiafrika ni kutumia jezi.
Wenzetu mpira wao unategemea sayansi ya wazi,lakini afrika hasa Tz tunayo sayansi ya giza, ktk kupata mafanikio na kuua vipaji vya wengine.
Hivyo nawashauri viongozi wa vilabu vyote nchini,kama kubadirishana jezi siyo sheria ya mpira duniani basi isiwepo kubadishana jezi.
Ktk Uzi huu namwita ndugu mshana Jr. Achangie aonavyo yeye kwa jicho la tatu.
Karibuni.

HahahaNi mtazamo wa mchawi huu.
Hirizi pumuzi zimepigwa na kitu kizito..😂Nasubiri fainali ipite nitakurejea ...[emoji35][emoji34]
Sina nguvu ya argument leo.. Ila nimekuweka kiporoHirizi pumuzi zimepigwa na kitu kizito..[emoji23]
Tutaona Kama utarudi..😂Sina nguvu ya argument leo.. Ila nimekuweka kiporo
Hakika nitarejea hofu iko kwako.[emoji23]Tutaona Kama utarudi..[emoji23]
Ungejua mambo yanayofanyika huko serikalini wala usingesema hivyo.Unauthibitisho au umeandika kwa hisia tu.lakini pia kumbuka mambo ya imani za giza hayana nafasi kwenye mambo yakiserikali au taasisi zinazotambulika kiserikali.
Ndo tushakufunga mtani 🤣🤣🤣Nasubiri fainali ipite nitakurejea ...[emoji35][emoji34]
Hayana nafasi katika serikali, lakini wao kama wao wapo nayo kama kawaida, subili kipindi cha uchaguzi mtu na likitambi lake la kongoro anakalishwa kwenye ngozi .Unauthibitisho au umeandika kwa hisia tu.lakini pia kumbuka mambo ya imani za giza hayana nafasi kwenye mambo yakiserikali au taasisi zinazotambulika kiserikali.
Unakuta jitu limezeeka mpaka unywele wa mgongo lakini lipo tu wakati vijana wapo na hawana kazi, ona sahizi walivyorudishana mpaka unashangaa hivi vibabu si vyakukaa nyumbani nakucheza na wajukuu?Ungejua mambo yanayofanyika huko serikalini wala usingesema hivyo.