kambale mnene
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 271
- 197
Mada hii ni yakiroho,ya jicho la tatu, haitaki matusi.
Utamaduni wa kubadirishana jezi umetokea ulaya,huku kwetu hautufai kwani kwa jicho la kiroho njia rahisi ya kuua vipaji vya wachezaji kupitia tamaduni za kiafrika ni kutumia jezi.
Wenzetu mpira wao unategemea sayansi ya wazi,lakini afrika hasa Tz tunayo sayansi ya giza, ktk kupata mafanikio na kuua vipaji vya wengine.
Hivyo nawashauri viongozi wa vilabu vyote nchini,kama kubadirishana jezi siyo sheria ya mpira duniani basi isiwepo kubadishana jezi.
Ktk Uzi huu namwita ndugu mshana Jr. Achangie aonavyo yeye kwa jicho la tatu.
Karibuni.