Wachezaji kubadilishana jezi iwe marufuku

kambale mnene

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
271
Reaction score
197
Mada hii ni yakiroho,ya jicho la tatu, haitaki matusi.

Utamaduni wa kubadirishana jezi umetokea ulaya,huku kwetu hautufai kwani kwa jicho la kiroho njia rahisi ya kuua vipaji vya wachezaji kupitia tamaduni za kiafrika ni kutumia jezi.

Wenzetu mpira wao unategemea sayansi ya wazi,lakini afrika hasa Tz tunayo sayansi ya giza, ktk kupata mafanikio na kuua vipaji vya wengine.

Hivyo nawashauri viongozi wa vilabu vyote nchini,kama kubadirishana jezi siyo sheria ya mpira duniani basi isiwepo kubadishana jezi.

Ktk Uzi huu namwita ndugu mshana Jr. Achangie aonavyo yeye kwa jicho la tatu.

Karibuni.
 
Asante kwa mwaliko kambale mnene naomba nirudi hapa kuchangia baada ya fainali nina sababu zangu za kiroho kusema hivyo[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Huyo uliyemuita ndo ana jezi ya MAYELE na bado anaendelea kufunga.Sijui atachangia nini (joking usiniroge Mshana Jr)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri fainali ipite nitakurejea ...[emoji35][emoji34]
 
Unauthibitisho au umeandika kwa hisia tu.lakini pia kumbuka mambo ya imani za giza hayana nafasi kwenye mambo yakiserikali au taasisi zinazotambulika kiserikali.
 
Hayana nafasi katika serikali, lakini wao kama wao wapo nayo kama kawaida, subili kipindi cha uchaguzi mtu na likitambi lake la kongoro anakalishwa kwenye ngozi .
 
Ungejua mambo yanayofanyika huko serikalini wala usingesema hivyo.
Unakuta jitu limezeeka mpaka unywele wa mgongo lakini lipo tu wakati vijana wapo na hawana kazi, ona sahizi walivyorudishana mpaka unashangaa hivi vibabu si vyakukaa nyumbani nakucheza na wajukuu?
 
Back
Top Bottom