Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Messi
Pelé
Maradona
Ronaldinho
De Lima
Valderama
Salas
Batistuta
Romario
Rivaldo
 
Bado Messi hajabeba world cup kama ambavyo Pele hajawahi kubeba Copa America.
Baadae Messi akaja kubeba WC ili kuwakata Ngebe wote waliomdhihaki.... [emoji16][emoji16][emoji16]
Kubali kataa Messi ndo mchezaji Bora wa muda wote kwny football
 
Back
Top Bottom