Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico
8. Garrincha
9.Romario
10. Socrates
Hii ni bonge moja la list... Kumuweka Messi namba 1 umemaliza kila kitu... Shujaa aimbwe akiwa bado hai na si kusubiri mpaka afe 💪💪💪
 
Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico
8. Garrincha
9.Romario
10. Socrates
Unawaachaje akina Faustino Asprila,
Carlos Vandelama, Freddy Lincoln
 
Mkuu, ili uzi wako ukamilike anza na👇
1 MESSI
2 DIEGO ARMANDO MARADONA
3 No.....No...No...No
4 Cr7
5 Pele
6 Di stefano
7 Zidane
8 Cruyff
9 Puskas/Platini
10 Iniesta/Xavi/de lima/Kempes/Gaucho/Henry/Aguero

Ni maoni yangu👆

Kuna wabrazil kwenye list yako hawastahili kuwemo top 10..mfano garincha, romario, socrates na zico.. unamuacha zidane unaweka hao mkuu! Lakini ni maoni yako, yanapaswa kuheshimiwa mkuu.
 
We kweli ni mtoto yaan Messi umeweke juu ya Pele UYO MESSI ATA LEVEL ZA GAUCHO KATIKA UBORA WAKE HAFIKI ACHA UTOTO
 
We kweli ni mtoto yaan Messi umeweke juu ya Pele UYO MESSI ATA LEVEL ZA GAUCHO KATIKA UBORA WAKE HAFIKI ACHA UTOTO

Kwahiyo yeyote anaemkubali Messi ni mtoto!! Hivi unajua mpira kweli! Au mahaba niuwe! Hivi kweli kapele ukafananishe na MESSI! Upo seriously? Wakati Diego Armando kamfunika vibaya pele kwa Messi ndio atafika!!

Baada ya Messi kubeba world cup mkahamia kwa pele 😃, sikiliza kijana wangu 👉 Messi hata asingebeba World cup angeendelea kuwa juu ya wote, kwa maana the G.O.A.T.

Ushauri wangu, linapokuja suala la nani bora kwa mwenzie! Tafadhali uwe unakuja na data kamili/stats/records.
 
Mkuu, ili uzi wako ukamilike anza na👇
1 MESSI
2 DIEGO ARMANDO MARADONA
3 No.....No...No...No
4 Cr7
5 Pele
6 Di stefano
7 Zidane
8 Cruyff
9 Puskas/Platini
10 Iniesta/Xavi/de lima/Kempes/Gaucho/Henry/Aguero

Ni maoni yangu👆

Kuna wabrazil kwenye list yako hawastahili kuwemo top 10..mfano garincha, romario, socrates na zico.. unamuacha zidane unaweka hao mkuu! Lakini ni maoni yako, yanapaswa kuheshimiwa mkuu.
Hii mada inawahusu wachezaji wanaotokea Amerika ya kusini.
 
Konfusion😨😨
 
Mario Kempes

Gabriel Batistuta

Daniel Passarella

Javier Zanetti

Sergio Agüero

Juan Román Riquelme

Carlos Tevez

Pablo Aimar

Juan Sebastián Verón
👆
Au mada yako inahusu waliobeba ndoo!
Hii mada inawahusu wachezaji wanaotokea Amerika ya kusini.
 
Mkuu, ili uzi wako ukamilike anza na[emoji116]
1 MESSI
2 DIEGO ARMANDO MARADONA
3 No.....No...No...No
4 Cr7
5 Pele
6 Di stefano
7 Zidane
8 Cruyff
9 Puskas/Platini
10 Iniesta/Xavi/de lima/Kempes/Gaucho/Henry/Aguero

Ni maoni yangu[emoji115]

Kuna wabrazil kwenye list yako hawastahili kuwemo top 10..mfano garincha, romario, socrates na zico.. unamuacha zidane unaweka hao mkuu! Lakini ni maoni yako, yanapaswa kuheshimiwa mkuu.
Nyie ndio huwa mnafeli mitihani. Unakurupuka tu na kuposti bila kusoma uzi unataka nini.
 
Back
Top Bottom