Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

mleta mada na list yake ya mchongo.

messi anakaaje juu ya pele na maradona?
ronaldinho anakaaje juu ya romario na ronaldo?
hivi umewahi kumsikia revalinho?
Hivi Messi unamchukuliaje?? Ballon d'or saba magoli around 700 kwa game around 760 na makombe zaidi ya 40 ndio uhoji uhalali?

Ronaldinho ndio mchezaji ambaye kama angekuwa na consistency ya miaka kumi basi ndio angekuwa namba moja. Jamaa amechukua medali pamoja na makombe yote bila kusahau burudani ya aina yake aliyotuachia mashabiki.
 
Unajua kama pele kafunga magoli1000
 
Unajua kama pele kafunga magoli1000
Pele kafunga magoli 757 kwenye mechi 812 za mashindano.. hayo magoli 526 yaliyobaki alifunga akiwa tour na washkaji na sio game za mashindano.

Mimi mwenyewe udogoni nimefunga zaidi ya hayo.🤣🤣
 
Back
Top Bottom