Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea bara la ulaya (raia wa ulaya) mpaka sasa

Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea bara la ulaya (raia wa ulaya) mpaka sasa

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Wafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Cristiano Ronaldo
2. Franz Beckenbauer
3. Johan Cruyff
4. Zinedine Zidane
5. Michael Platin
6. Marco van Basten
7. Gerd Muller
8. Lev Yashin
9. Roberto Baggio
10. Paolo Maldini
 
Pelé vipi?

Halafu nilitaka kusema eti Okocha tena kumbe hata kwenye kumi bora Afrika hayumo 😁😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Pele sio mzawa wala raia wa ulaya.. yupo kwenye post nyingine ya amerika kusini iangalie.
 
Wafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Cristiano Ronaldo
2. Franz Beckenbauer
3. Johan Cruyff
4. Zinedine Zidane
5. Michael Platin
6. Marco van Basten
7. Gerd Muller
8. Lev Yashin
9. Roberto Baggio
10. Paolo Maldini
GHeOrghe Hagi
 
Back
Top Bottom