Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea bara la ulaya (raia wa ulaya) mpaka sasa

Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea bara la ulaya (raia wa ulaya) mpaka sasa

Naona kila mtu anataka kuweka list yake basi kila mtu aanzishe thread yake
 
Gerrard, rooney, benzema, lampard, iniesta, modric, ibrahimovic....
 
kwanini hawa hawapo?
1:davor suker
2😛avel nedved
3:luis figo
4:Gianfranco Zola
5:Wesley sneider
6:Raul Gonzalez
7:George hagi
8:alessandro Nesta
9:Oliver Khan
10:Emanuel petit
 
Pirlo ayupo?.
jamaa miguu yake inaudambwi mwingi.anavyo kokota mipira,anavyo toa pasi anavyopokea pasi,chenga zake,magoli yake kipa lazima ateswe kwanza ndo afungwe.basi ilikua ni burudani tupu.

hao wachezaji waliopita walicheza mpira wa burudani na kusaidia timu zao.wachezaji wa sasa ni mbio tu ukiwa na mbio nyiingi na pumzi umepata timu😂
 
Back
Top Bottom