Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Pele sio mzawa wala raia wa ulaya.. yupo kwenye post nyingine ya amerika kusini iangalie.PelΓ© vipi?
Halafu nilitaka kusema eti Okocha tena kumbe hata kwenye kumi bora Afrika hayumo ππππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Natumia simu ina nyufa kila kona. Sikuona title kuwa inasema wachezaji wa Ulaya pekee. Samahani kwa hilo!Pele sio mzawa wala raia wa ulaya.. yupo kwenye post nyingine ya amerika kusini iangalie.
Pele ashawahi cheza ulaya timu gani?PelΓ© vipi?
Halafu nilitaka kusema eti Okocha tena kumbe hata kwenye kumi bora Afrika hayumo ππππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Manchesita Yunaited....Pele ashawahi cheza ulaya timu gani?
Alan ShearerAlan sheller simuoni
GHeOrghe HagiWafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:
1. Cristiano Ronaldo
2. Franz Beckenbauer
3. Johan Cruyff
4. Zinedine Zidane
5. Michael Platin
6. Marco van Basten
7. Gerd Muller
8. Lev Yashin
9. Roberto Baggio
10. Paolo Maldini
Shearer atamtoa nani kwenye list hapo?Alan sheller simuoni
Yupo hapo kwenye bwawa jangwani.π€£Mayele wapi??
Ataweza kumtoa nani kwenye list?GHeOrghe Hagi
De lima sio raia wa ulaya.Ronaldo delimma sijamuona hapo
Messi sio raia wa ulaya.Wapi messi
πππ Lewandowski atamtoa nani kwenye list ikiwa hata ballon d'or hana? Hana world cup na hata euro?ila mnachomfanyiaga lewangoalski....Ni mungu tu atawalipa