Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea bara la ulaya (raia wa ulaya) mpaka sasa

Busquets hayupo hiyo orodha ya kishoga
 
Hi list imekaa sawa kabisa
 

8,9 na 10 watoe
Weka
Bekham
Thiery Henry
Ruud Gullit/Luis Figo
 
Oohh kwahiyo Modric ni bora kuliko Lewandowski sababu ana ballon d'or

Na pia Muller ni bora kuliko Lewandowski sababu ana world cup

Aiseee!!
Kinachoangaliwa ni mchango wa mchezaji katika mafanikio ya timu.. na ule mchango unapelekea kupata tuzo binafsi.

Modric kwa maoni yangu ni bora kuliko Lewandowski kwa kuangalia mchango wake pale Madrid na kule Croatia.

Muller ni level ya juu sana kuliko Lewandowski kwasababu nyingi mno ukiangalia mchango wake ikiwepo pia ballon d'or, world cup etc
 
8,9 na 10 watoe
Weka
Bekham
Thiery Henry
Ruud Gullit/Luis Figo
Beckham?😂 kwa lipi? Henry alikuwa poa lakini amekosa ballon d'or.

Ruud gullit na Figo walikuwa wazuri lakini kwenye top ten hawawezi kuingia kwa kuwatoa hao magwiji unaowataja.
 
 
Rahisi sana

Toa Baggio apo kwanza alipaisha penat weka Va Va Voom.
Mimi kama fan wa arsenal ningependa Henry awepo lakini kukosa ballon d'or kunamnyima nafasi. Halafu wakati anacheza timu ya taifa staa wao alikuwa Zidane na sio yeye.
 
Wa kitambo hao mkuu, mmewasahau sana bwana wacha niwataje watrend au vipi mkuu.
Sio wa zamani kivile.. walikuwa wazuri lakini vigezo wanazidiwa kwa mbali na wengine.
 
Samahani kidogo,
Haya ni maoni yako binafsi au ni andiko umelitoa pahala?
Nimechambua kutoka kwenye vyanzo mbalimbali ikiwemo FIFA, Wikipedia na majarida mbalimbali yaliyofanya polling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…