Wachezaji machachari wa kigeni walioletwa na Yanga na kuishia kucheza vilabu vidogo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo
2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri.

3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne

...inaendelea
 
Hawa wote wamecheza kwa kiwango kikubwa tu wakiwa Yanga. Mchezaji kama Juma Shabani kacheza hadi fainali ya kombe la shirikisho Afrika. Wachezaji wanapanda na kushuka.
 
Nakumbuka adriz alisema kua mashabiki wa Simba wanaongoza kuanzisha mada za ovyo
Hakukosea
 
Djuma Shaban alileta kiburi akapigiwa simu asain mkataba akagoma yeye na Bangala
Tukamtema tukamleta Yao
 
Fe
1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo
2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri.

3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne

...inaendelea
Feisal-Azam FC, Chamazi
 
Back
Top Bottom