Wachezaji machachari wa kigeni walioletwa na Yanga na kuishia kucheza vilabu vidogo

Wachezaji machachari wa kigeni walioletwa na Yanga na kuishia kucheza vilabu vidogo

Djuma Shaban alileta kiburi akapigiwa simu asain mkataba akagoma yeye na Bangala
Tukamtema tukamleta Yao
Yao mtu na nusu...mwanaume anafanya kazi mpaka unafurahi.
namuonea huruma mke wake maana kama shughuli ya sita kwa sita ni mwendo wa shughuli ya uwanjani ni hatari
 
Djuma Shaban alileta kiburi akapigiwa simu asain mkataba akagoma yeye na Bangala
Tukamtema tukamleta Yao
Wakala wake hayupo makini,angemtafutia timu nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom