uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Nimeangalia mapokezi ya wachezaji wa Yanga bukoba ni makubwa sana tena sana pale airport na watu wameacha shughuli zao kwenda kuwapokea ila namna wachezaji wanawapita mashabiki ni kama paka na panya wengi wamefunika vichwa na kofia miwani kubwa earphones mwendo wa ngiri
Angalau Dube kuonesha appreciation kwa kutabasam na kupunga mikono sisemi washikane mikono ila no sign of affection kwa uma ule Ile si sawa kabisa
Hii huwa hivyo hata katika mechi mwisho wa mechi huoni wachezaji wakikusanyika na kwenda kuonesha kuwa pamoja na mashabiki watakimbia kwenda vyumbani kana kwamba pale nje Kuna mvua hii ni tofauti na ughaibuni ambapo wachezaji husogea karibu na mashabiki na kupata picha ya karibu huwa tunaona
Wachezaji waambiwe siku watakayocheza empty stadium ndio watajua umuhimu wa shabiki