Wachezaji na fans engagement ni shida sana

Wachezaji na fans engagement ni shida sana

Ila nimegundua Wachezaji wa Yanga na benchi zima la ufundi wana amini sana ushirikina wanaona hao mashabiki labda wana dawa machoni wakiwaangalia tuu hawatoboi...ndo maana ni mabingwa wa kupita milango isiyo rasmi...😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dada punguza imani za ajabu ajabu
 
Utaratibu huu wa kukusanyika na kuwapa
mashabiki some appreciation anao kocha wa ball wa kisasa kabisa Fadlu Davis au muite Davuuu...kama unaangalia Simba kwa sasa
Kwako mtoa mada....
Niliangalia mechi na Tabora sikuona Hilo labda ya fountain hiyo siku angalia kama anafanya hivyo ni sawa kabisa
Jana nimeangalia game ya Leverkusen jamaa walikaa zaidi ya dk 5 Kisha wakawapigia makofi mashabiki yani ni unaona real humbleness and engagement from the players
 
Nadhani wanahitaji kuelimishwa
Kweli kabisa Kuna mchezaji aliposajiliwa Madrid anasema alikuta mchezaji sio tu kucheza uwanjani ni ana kazi nyingi sana kwa ajili ya kuingizia team mapato ikiwemo fans engagement
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya mlango na Ushirikina, by the way timu pekee iliyopigwa fine na CAF kwa Ulozi inafahamika
Yah Simba walipigwa fine maofisa wa caf wanasema lile ndio tukio la ajabu wao kuwahi kushuhudia katika mpira
Wachezaji wakichoma pitch na kichungu chao
 
Utaratibu huu wa kukusanyika na kuwapa
mashabiki some appreciation anao kocha wa ball wa kisasa kabisa Fadlu Davis au muite Davuuu...kama unaangalia Simba kwa sasa
Kwako mtoa mada....
Wanajipendekeza hao....subiri warushiwe machupa ya maji ndio mtajua na timu lenu la kuun gaunga
 
Wanajipendekeza hao....subiri warushiwe machupa ya maji ndio mtajua na timu lenu la kuun gaunga
Ila Ile fountain bila usajili kuzingua ni team aisee Jana nimeona Namungo wanatafutana pale Fadlu angeomba game iishe
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya mlango na Ushirikina, by the way timu pekee iliyopigwa fine na CAF kwa Ulozi inafahamika
Msijifiche kwny chaka la Simba nyie ni washirkina konki ambao hamjakamatwa bado na darubini😃😃😃
 
Back
Top Bottom