Dada punguza imani za ajabu ajabuIla nimegundua Wachezaji wa Yanga na benchi zima la ufundi wana amini sana ushirikina wanaona hao mashabiki labda wana dawa machoni wakiwaangalia tuu hawatoboi...ndo maana ni mabingwa wa kupita milango isiyo rasmi...πππππππ€£π€£π€£π€£π€£
Nyie ndo mpunguze..mkianza na kupita milango rasmi...Dada punguza imani za ajabu ajabu
Hakuna uhusiano wowote kati ya mlango na Ushirikina, by the way timu pekee iliyopigwa fine na CAF kwa Ulozi inafahamikaNyie ndo mpunguze..mkianza na kupita milango rasmi...
Niliangalia mechi na Tabora sikuona Hilo labda ya fountain hiyo siku angalia kama anafanya hivyo ni sawa kabisaUtaratibu huu wa kukusanyika na kuwapa
mashabiki some appreciation anao kocha wa ball wa kisasa kabisa Fadlu Davis au muite Davuuu...kama unaangalia Simba kwa sasa
Kwako mtoa mada....
Yah Simba walipigwa fine maofisa wa caf wanasema lile ndio tukio la ajabu wao kuwahi kushuhudia katika mpiraHakuna uhusiano wowote kati ya mlango na Ushirikina, by the way timu pekee iliyopigwa fine na CAF kwa Ulozi inafahamika
AaahaaaaWengine hawatakag shobo,maana kafika hapo sio kwa nguvu ya hao mashabik
Wanajipendekeza hao....subiri warushiwe machupa ya maji ndio mtajua na timu lenu la kuun gaungaUtaratibu huu wa kukusanyika na kuwapa
mashabiki some appreciation anao kocha wa ball wa kisasa kabisa Fadlu Davis au muite Davuuu...kama unaangalia Simba kwa sasa
Kwako mtoa mada....
Msijifiche kwny chaka la Simba nyie ni washirkina konki ambao hamjakamatwa bado na darubiniπππHakuna uhusiano wowote kati ya mlango na Ushirikina, by the way timu pekee iliyopigwa fine na CAF kwa Ulozi inafahamika