Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

Wachezaji na Staff CR Beloizdad wakatwa 80% ya mshahara baada ya kipigo cha Yanga

Yanga akimuokota Asec harafu nusu awaokote Petro anaenda fainal nje ya hapo tutapitia mazingira magumu sana..wale Mazembe na Mamelodi wana hatari sana na hili Kombe..
 
Hata tukimuokota kolo ni kuteleza tu
Uwezekano wa Yanga kuwa wa pili na ni ngumu wao kwa kuokotana ni wa juu wanakua port A na nafasi ya Pili kuwa port moja kwa sasa hivi Yanga wapigane wale waarabu wanaweza kufungika pia ingawaje mechi yao ya Juzi waliwapumzisha wachezaji wao wote kwa sababu ya Yanga ngoja tuone...
 
Back
Top Bottom