Wachezaji na Viongozi wa Simba SC, nyie ndiyo wa kuniokoa; tukifungwa na Yanga SC Desemba 11 nitakoma hapa JF

Jamaa sijui kafanyaje kaishalimwa umeme
 
Wote cha mtoto kwa matokeo yoyote yale, kazi iko kwa Haji Manara kama utopolo watafungwa!! amwkna akiteseka mpaka basi!! Yanga watamzomea na kumsona msaliti, Simba watamzomea na kumsimanga!! hana pa kujiliwadha!! Manara atatia huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…