luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Simba ndio anapima? Na wale wata5 kule Sudani mechi ya kwanza nao walibambikiwa?wachezaji 8 wa el merikh hawajacheza wamebambikiwa corona
Walipimbwa na Simba?Walipimwa na CAF?
Hahahahah, na Manara ndio mkemia mkuu πππππHapana ni Mwakalebela
Mikwara ya wabongo!Ukisoma kauli kama hizi unaweza fikiri kuwa kichwani kuna akili kumbe ni debe tupu!Ulitakiwa ujue hilo hata kabla haujaingia kwenye mjadala
Wee nyani na mbwa, unabwekea wapi?Figisu zimeanza
Pole kwa msibaππ Zimefika Mtani.
Nishapoa Mtani.Pole kwa msiba
Hakika mtaniNishapoa Mtani.
Ndo mana wanasema siku zote Dunia tunapita.