Wachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa

Wachezaji nane wa Al Merrikh wakutwa na Corona. Wenyewe wadai kuhujumiwa

simba hapmi corona kama figisu ilitakiwa afanyiwe al ahly siyo hao wajinga..kunakuwa na doctors toka clubs zote mbili na daktari wa caf .al ahly kule congo wa 5 wamekutwa na covid ila siyo news shida ya wengi ni kuona simba inashinda.inawauma sana.kule sudani kwao kati ya hao 8 wa 5 walikutwa na covid 19 sijui simba ilihusika tena?duh
 
Back
Top Bottom