OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba Sc ndio habari ya dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuja Shadeeya hapa atakujibu kuwa ni Nugaz
Aaaaaaaaaaa....na lile deni la million 46 vip????Utopolo hata kumlipa Saido mshahara wameshindwa.
Wameshindwa milioni 5 faini ya Nugaz wataweza 46 milioni?Aaaaaaaaaaa....na lile deni la million 46 vip????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mo kachafukwaNzuri hiyo
Ni shing' ngapi hivi..kwa 'pesa ya madafu'Mo kachafukwa
Huo ni uongo wa mchana kweupe
Milioni 11.5 hiyo. Unavuta Crown Athlete mchana kweupeeeeNi shing' ngapi hivi..kwa 'pesa ya madafu'
😄😄😄 Nikutafutie Kamba au Nikuache uendelee kutesekaHuo ni uongo wa mchana kweupe
Al Ahly wanakuja Mwezi huu, Mkachukue kile kiti mkawabebe tena sasa Watumwa wakubwa nyie😅Simba sijui lini mtapevuka na kutoka utumwani
HahaaaaUtopolo hata kumlipa Saido mshahara wameshindwa.
Dua la kuku ewe kidimbwi kamwe halimpati mweweEndeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
mkuu kwa taarifa yako hao jamaa zako watalala kwa bao 1 tu kama kawaidaEndeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Sisi kama watani wenu wa jadi, baadhi yetu tunawatakia mafanikio mema kwa kigezo cha Uzalendo. Hivyo ni wajibu wetu kuwakumbusha kufanya maandalizi ya kutosha.mkuu kwa taarifa yako hao jamaa zako watalala kwa bao 1 tu kama kawaida