Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

Endeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Hivi hii habari bado ipo au?Dah mara nyingine unaweza kuropoka kikakurudia.Al Ahly anaburuza nafasi ya pili sasa Mnyama ndio leader wa group.
 
Hivi hii habari bado ipo au?Dah mara nyingine unaweza kuropoka kikakurudia.Al Ahly anaburuza nafasi ya pili sasa Mnyama ndio leader wa group.
Bado mechi ya mwisho ya kulinda heshima kule Misri! Nendeni mkajilegeze halafu muone kitakacho watokea.
 
Bado mechi ya mwisho ya kulinda heshima kule Misri! Nendeni mkajilegeze halafu muone kitakacho watokea.
Hiyo mechi ina umuhimu gani wa kuvunjana miguu. Utopolo kubalini ukweli Simba ndio mshindi wa kwanza kwenye group .Pointi 13.End of story.Kujidai kutupa ushauri ni ujinga tu.Huu ushauri uweke siku mkishiriki kwa mbeleko ya Simba ndio mmutumie na Utopolo wenzako.
 
Huo ni uongo wa mchana kweupe
Kwa taarifa yako simba kwa kuingia makundi walikunja 1.3b kwa kuingia robo fainali wamekunja 1.5b na tff watapata 75m katika hizo
Tukiingia nusu fainali tutakunja 2b na tukiingia fainali tutakunja $1.25m wakati bingwa atakunja 2.5m

Wewe utachukua zile m10 za mapinduzi kapu ambazo ni mshahara wa manula tu.
Screenshot_20210405-224916.jpg
 
Kwa taarifa yako simba kwa kuingia makundi walikunja 1.3b kwa kuingia robo fainali wamekunja 1.5b na tff watapata 75m katika hizo
Tukiingia nusu fainali tutakunja 2b na tukiingia fainali tutakunja $1.25m wakati bingwa atakunja 2.5m

Wewe utachukua zile m10 za mapinduzi kafu ambazo ni mshara wa manula tu.View attachment 1744556
Numbers don't lie.
Abishe sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom