Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

mashabiki wa nyau fc makalio yanalia mbwata mjini hakupitiki.
 
Endeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Kidimbwi unateseka,toka mkeketwe kule Mbeya akili hazijawakaa sawa
 
TFF wana roho mbaya sana, mbona sisi Yanga hatupewi na sisi hela kama wenzetu Simba,itabidi twende FIFA.
 
Yanga walivuta hiyo walipompakata mnyama bao moja. Acheni ulimbukeni.
Wangekuwa na uwezo huo si wangeshamlipa Tambwe. Unajua kwa nini Saido hachezi? GSM janjajanja sana, hawezi kila siku atumbukize hela yake chooni.
 
Mkuu hio ni kuoga au kunawa ? (Hususan kwa Celebrities) ?
 
Back
Top Bottom