maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
Paka watakuepo?mkuu kwa taarifa yako hao jamaa zako watalala kwa bao 1 tu kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka watakuepo?mkuu kwa taarifa yako hao jamaa zako watalala kwa bao 1 tu kama kawaida
🤣🤣🤣🤣🤣 mtafutie kamba😄😄😄 Nikutafutie Kamba au Nikuache uendelee kuteseka
Umeandika nini ewe kilaza?Kidi hawapati kwani ....[emoji848][emoji848][emoji848]
Kidimbwi nije nikitibue?Simba sijui lini mtapevuka na kutoka utumwani
Kidimbwi unateseka,toka mkeketwe kule Mbeya akili hazijawakaa sawaEndeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Wanatuogopa sana haoEndeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Wengekuwepo, shida ni kwamba hawa wamisiri hawaogopi paka. Ila tutakuja nao siku ya mechi na kidimbwi fcPaka watakuepo?
Kama hujui nilichoandika.Umeandika nini ewe kilaza?
Yanga walivuta hiyo walipompakata mnyama bao moja. Acheni ulimbukeni.TFF wana roho mbaya sana, mbona sisi Yanga hatupewi na sisi hela kama wenzetu Simba,itabidi twende FIFA.
Kwa kweli😂😂 siwezi kukubali aendelee kuteseka🤣🤣🤣🤣🤣 mtafutie kamba
Wangekuwa na uwezo huo si wangeshamlipa Tambwe. Unajua kwa nini Saido hachezi? GSM janjajanja sana, hawezi kila siku atumbukize hela yake chooni.Yanga walivuta hiyo walipompakata mnyama bao moja. Acheni ulimbukeni.
Tusubirie miezi 6 yake ikwishe uone atakavyo anza kumeng'eneka njaaUtopolo hata kumlipa Saido mshahara wameshindwa.
Hayo tunayaita maneno ya chooni.Wangekuwa na uwezo huo si wangeshamlipa Tambwe. Unajua kwa nini Saido hachezi? GSM janjajanja sana, hawezi kila siku atumbukize hela yake chooni.