Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

Kidi hawapati kwani ....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Endeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
 
mkuu kwa taarifa yako hao jamaa zako watalala kwa bao 1 tu kama kawaida
Sisi kama watani wenu wa jadi, baadhi yetu tunawatakia mafanikio mema kwa kigezo cha Uzalendo. Hivyo ni wajibu wetu kuwakumbusha kufanya maandalizi ya kutosha.

Huo Ushindi wenu mlio upata dhidi ya As Vita, uwe ni chachu ya kupambana zaidi badala ya kubweteka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ