SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kidimbwi ni sawa na chooni tu.Hayo tunayaita maneno ya chooni.
Hivi hii habari bado ipo au?Dah mara nyingine unaweza kuropoka kikakurudia.Al Ahly anaburuza nafasi ya pili sasa Mnyama ndio leader wa group.Endeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Endeleeni kusherehekea huo ushindi wenu kiduchu. Mara paaah! Wale wazee wa Hamsa Hamsa Al Ahly hawa hapa!! Halafu mnaanza kutafutana.
Mechi ya mwisho ni Misri Bwashee!! Na muda utakuwa ni usiku!! Ndiyo wakati ambao mara nyingi hamsa hamsa hutokea!Unateseka ukiwa pande gani
Bado mechi ya mwisho ya kulinda heshima kule Misri! Nendeni mkajilegeze halafu muone kitakacho watokea.Hivi hii habari bado ipo au?Dah mara nyingine unaweza kuropoka kikakurudia.Al Ahly anaburuza nafasi ya pili sasa Mnyama ndio leader wa group.
Mechi ya mwisho ni Misri Bwashee!! Na muda utakuwa ni usiku!! Ndiyo wakati ambao mara nyingi hamsa hamsa hutokea!
Hiyo mechi ina umuhimu gani wa kuvunjana miguu. Utopolo kubalini ukweli Simba ndio mshindi wa kwanza kwenye group .Pointi 13.End of story.Kujidai kutupa ushauri ni ujinga tu.Huu ushauri uweke siku mkishiriki kwa mbeleko ya Simba ndio mmutumie na Utopolo wenzako.Bado mechi ya mwisho ya kulinda heshima kule Misri! Nendeni mkajilegeze halafu muone kitakacho watokea.
Simba inakutesa eenh?Simba sijui lini mtapevuka na kutoka utumwani
Yanga imevaa pedi.Simba timu ya kike
Au Toyota BrevengaMilioni 11.5 hiyo. Unavuta Crown Athlete mchana kweupeeee
Kwa taarifa yako simba kwa kuingia makundi walikunja 1.3b kwa kuingia robo fainali wamekunja 1.5b na tff watapata 75m katika hizoHuo ni uongo wa mchana kweupe
Numbers don't lie.Kwa taarifa yako simba kwa kuingia makundi walikunja 1.3b kwa kuingia robo fainali wamekunja 1.5b na tff watapata 75m katika hizo
Tukiingia nusu fainali tutakunja 2b na tukiingia fainali tutakunja $1.25m wakati bingwa atakunja 2.5m
Wewe utachukua zile m10 za mapinduzi kafu ambazo ni mshara wa manula tu.View attachment 1744556