Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ngoja tusevu hii komentiUtaratibu ni uleule"kwa Mkapa hatoki mtu"Kaizer atakufa goli nne au zaidi,muda utaongea.
Kuna elfu 40 yako hapa ukifanikiwa kutabiri kwa usahihi mkuuUtaratibu ni uleule"kwa Mkapa hatoki mtu"Kaizer atakufa goli nne au zaidi,muda utaongea.
Fote kama fote,,usihofu mambo yatakaa njema.Kuna elfu 40 yako hapa ukifanikiwa kutabiri kwa usahihi mkuu
Wale wamekula chanjo mkuu!First elen yootee ya kaizer chief itakutwa na Covid 19, sijui nini kitafuatia apo