Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari.
Kocha mkuu wa Kaizer Chiefs mtaalamu Hunt aliyekuwa na kicheko cha dharau dakika ya 65 ya mchezo wa kwanza wa klabu bingwa Africa CAFCL, Hunt amethibitisha wachezaji wawili waliokuwa majeruhi kuungana na timu.
Wachezaji hao waliokosa mechi ya kwanza ni nahodha wa timu Kuhne na mlinda mlango Daniel Akpey.
Hivyo kusafiri na timu na tunatarajia watacheza mchezo ujao kwa Mkapa.
Nawasilisha Mzee Mkoloni
Cc: Kichwa Kichafu