Wachezaji wa kitanzania wenye thamani kubwa.

Wachezaji wa kitanzania wenye thamani kubwa.

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Katika kwenye transfer website wafuatao ni wachezaji wa kitanzania Africa wenye bei kubwa.

Screenshot_20220106-124340.png
 
Mbona simuoni mbwana ally samata!
 
Yaani kwanza hii list ilipoanza tu manula na bocco Plus gadiel kumpita feisal fundi nimeipuuzia.

Hii itakuwa mudi kaedit, sasa bocco na nyoni nani atawanunua africa hapa?
Ila makolo huwa mnavunja mbavu sana watu
 
Ni kwamba Mbwana Samata sio mtanzania au ndio kazidiwa thamani na akina Bocco?
 
Yaani kwanza hii list ilipoanza tu manula na bocco Plus gadiel kumpita feisal fundi nimeipuuzia.

Hii itakuwa mudi kaedit, sasa bocco na nyoni nani atawanunua africa hapa?
Ila makolo huwa mnavunja mbavu sana watu
Kabwili bhana wanashida mno.
 
Eti thamani ya fei na zimbwe zinafanana makolo hamjui kitu mnatia aibu
 
Eti bocco amemzidi farid mussa makolooo mbona mnatuvunja mbavu
 
Back
Top Bottom