Wachezaji wa kuchungwa kuelekea Derby ya Kariakoo, Yanga Vs Simba

Wachezaji wa kuchungwa kuelekea Derby ya Kariakoo, Yanga Vs Simba

Sasa goli moja kwenye NBC ligi ndani ya miaka mitano, halafu kamkanda DIARA kila wakikutana, mbona kama hujui ulichokiandika???
Tafuta rekodi zake uone hata kama ni la offside kikubwa anamkanda...
 
Goli ni lile ambalo refa aliita mpira uanze kati. Kibu ana goli moja tu kwenye ligi ya NBC ndani ya miaka mitano
Kwani mnamdai?...labda kama mnamdai ila tunajua anajua sanaaa na yy ndo kiboko yenu......
Mi nachojua anakandaga diara liwe limeitwa kati au la...hahhahaha
 
3-1 in favour of Yanga. Simba will be first to score through a defender. Aziz Ki will equalize for Yanga. Then Dube will score two goals
We hakika unajua mpira
 
Back
Top Bottom