Tafuta rekodi zake uone hata kama ni la offside kikubwa anamkanda...Sasa goli moja kwenye NBC ligi ndani ya miaka mitano, halafu kamkanda DIARA kila wakikutana, mbona kama hujui ulichokiandika???
Kikubwa nyavu zake huwa zinatikiswa na kibu deee....Kwa hiyo unahesabu na magoli yaliyokataliwa?🤣🤣
Kwakweli Kila mtu atachanganyikiwa
kabisa mkuu na katika derby ambayo ninapata hofu sanaa ni hii ya tarehe 8Angalau derby hii mwaka huu hakuna shabiki atakayeenda na matokeo yake! Sio wa Simba Wala Yanga!
Matokeo tutayakuta uwanjani!
Goli ni lile ambalo refa aliita mpira uanze kati. Kibu ana goli moja tu kwenye ligi ya NBC ndani ya miaka mitanoTafuta rekodi zake uone hata kama ni la offside kikubwa anamkanda...
Kwani mnamdai?...labda kama mnamdai ila tunajua anajua sanaaa na yy ndo kiboko yenu......Goli ni lile ambalo refa aliita mpira uanze kati. Kibu ana goli moja tu kwenye ligi ya NBC ndani ya miaka mitano
We hakika unajua mpira3-1 in favour of Yanga. Simba will be first to score through a defender. Aziz Ki will equalize for Yanga. Then Dube will score two goals
Huyu huyu hakikisheni mnampiga viatu kuliko vile vya derby ya kwanza,hakika hatafunga.Kibu huyu mwenye goli moja kwenye ligi ya NBC ndani ya miaka mitano au mwingine?
Kazi hiyo amepewa DIARA..!! Sura ya kazi moja tu, anakwenda benchiHuyu huyu hakikisheni mnampiga viatu kuliko vile vya derby ya kwanza,hakika hatafunga.