Wachezaji wa kuwachunga siku ya dabi Simba vs Yanga

Cute Msangi

Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
79
Reaction score
226
Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI.

Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi.

hivi Sasa ukiongelea timu yenye team work hali ya kupambana kwa wachezaji ni Yanga na kila mchezaji anatamani aoneshe kiwango chake kwa kocha nabi.

kocha nabi professor ni kocha mwenye mbimu na anajua kuusoma mchezo mapema ili ajue afanye Nini kupata ushindi.

Viva Yanga
official mwananchi fanπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…