HOLY SKANKA
JF-Expert Member
- Dec 30, 2025
- 1,178
- 2,131
Toka huko bongonyoso uzunguke dunia ndio utajua thamani ya mtu mweusi...Inferiority complex.
Atarudi PSGJamaa aje Arsenal tu, azidi kutupatia makombe aisee. Wf8
Halafu mbape mbona hana kasoro yoyote shida yenu nini watu wa Real.
Ana gundu yuleJamaa aje Arsenal tu, azidi kutupatia makombe aisee.
Halafu mbape mbona hana kasoro yoyote shida yenu nini watu wa Real.
Sidhani kama PSG wanamtaka.Atarudi PSG
Hana gundu, ni vile tu mambo kwa upande wa Madrid hayajakaa sawa.Ana gundu yule
We jamaa!!! UlitabiriDaah timu imejaa ego sana wamlete Mourinho aje awapunguze Hawa maboya