Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Senegal imemzawadia kila mchezaji wa timu ya taifa ya kandanda zawadi ya pesa taslimu na mashamba kufuatia ushindi wao katika Kombe la Mataifa ya Afrika.
Kila mchezaji wa timu alipokea zaidi ya $87,000 (zaid ya TSH milioni 200) na kiwanja katika mji mkuu, Dakar, na katika mji jirani wa Diamniadio wakati wa sherehe iliyofanyika ikulu ya rais.
Rais Macky Sall pia aliteua timu hiyo katika Tuzo ya heshima kutoka kwa Rais ambayo ni maarufu nchini Senegal, huku mashabiki wakishangilia nje ya lango.
Rais hapo awali aliishukuru timu hiyo kwa kuleta fahari na heshima ambayo inaashiria watu wa kipekee.
Pia alimsifu kocha wa timu hiyo, Aliou Cissé.
Senegal iliishinda Misri kwa mikwaju ya penalti 4-2, na kuwa mabingwa wa michuano hiyo kwa mara ya kwanza katika historia yao.