Ni wakati sasa Wachezaji waitwe waulizwe wana shida gani na Dejan mpaka wanaamua kutomtumia. Inawezekana ni roho mbaya zetu tu watu weusi, au Dejan pamoja na kuji-position sehemu mbalimbali lakini wenzake wanamuona labda hayuko eneo zuri la kupewa mipira (offside au amekabwa).
Hata lile goli alilofunga alijipasia mpira yeye mwenyewe.
Hata lile goli alilofunga alijipasia mpira yeye mwenyewe.