Wachezaji Wa Simba S. C Acheni "Kumzururisha" Mzungu

Ni wakati sasa Wachezaji waitwe waulizwe wana shida gani na Dejan mpaka wanaamua kutomtumia. Inawezekana ni roho mbaya zetu tu watu weusi, au Dejan pamoja na kuji-position sehemu mbalimbali lakini wenzake wanamuona labda hayuko eneo zuri la kupewa mipira (offside au amekabwa).

Hata lile goli alilofunga alijipasia mpira yeye mwenyewe.
 
Israel Patrick Mwenda kuliko amtupie majalo Mzungu basi bora apige kwa kipa anaweza kujichanganya likaingia. Bahati nzuri Mungu si athumani kipa akamtemea mpira Mzungu.
 
Kocha alitoa hiyo list lini?
Mbona mnapenda kujiabisha wakuu?
 

Pasi ngumu anapewa, akiwa sehemu ambayo amekaa vizuri kabisa kwenye angle mzuri ni kweli hawampi
 
Kocha alitoa hiyo list lini?
Mbona mnapenda kujiabisha wakuu?
Sasa kwani sasa hvi kuna siri wengine wameshindwa kuwaondoa kwasababu ni usajili mpya kwa hyo ndo maana ameshindwa ila ilikuwa team nzima ile anaitoa kwa mkopo anabaki yeye na mzungu wake bora hata amepewa mkataba wa mwaka mmoja.
 
Dejan mzuri. Wachezaji wenzake wanamyima pasi makusudi ili asiwe maarufu. Hicho ndicho kinachoigharimu simba.
 
Pasi ngumu anapewa, akiwa sehemu ambayo amekaa vizuri kabisa kwenye angle mzuri ni kweli hawampi
Dejan mzuri. Wachezaji wenzake wanamyima pasi makusudi ili asiwe maarufu. Hicho ndicho kinachoigharimu simba.
Sahihi kabisa,
Wanadhani wanamkomoa Dejan kumbe timu nzima inaathirika.
 
Mdhungu huko kwao alishawahi kucheza mechi 58 na kufunga goli 8 tu. Halafu naskiaga mara kadhaa kuwa anaundugu na kocha sasa hii mambo ya undugu kwenye kazi mara nyingi huwa na madhara sana
 
Yule ni Mviziaji angepata mtu kama ki izo game alizocheza tungekua tunaongea mengine hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…