CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf.
Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile zilizolenga kutia u-kilema au kuua za Dodoma jiji ni rasharasha soon mtawekewa mitego ya kufumaniwa na mademu/wake za watu,mtatumiwa majambazi nyumbani kwenu au wapendwa wenu wadhuriwe ili akili zenu zisiwe mchezoni.
Kuweni makini pia mkiendesha magari barabarani..HAWA JAMAA NI MAFIOSO WENYE ROHO MBAYA SANA MSIJE KUSEMA HAMKUONYWA