Wachezaji wa Simba wajilinde nje ya uwanja soon wanakodisha vibaka kuwadhuru

Acha kuleta uchochezi hapa li timu lenu mwaka huu liko hovyo tu. Mbona kwenye ngao ya jamii mikia walicheza rafu sana na husemi ? Tulia, mwaka huu kazi mnayo. Mlizoea kutunziwa viporo mwaka huu hakuna kitu kama hicho.
Uto unateseka ukiwa wapi
 
Wanatumia nguvu nyingi sana kuwapoteza Simba.
Ni kweli kabisa mpaka miutopolo imefanya njama key players kama Chama na Konde boy wauzwe ili kumdhoofisha mnyama 5imba nguvu moya.
 
Leo imeundwa kamati ya fedha kule kwa jirani. Hii nadhani ndio itakayokua inaratibu kugawa fedha kupitia kivuli cha mlezi wa timu mikoani pindi simba itakapokua inacheza msimu huu jamaa wamejipanga kucheza mapicha picha [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wasomali ni magaidi
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf

Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile zilizolenga kutia u-kilema au kuua za Dodoma jiji ni rasharasha soon mtawekewa mitego ya kufumaniwa na mademu/wake za watu,mtatumiwa majambazi nyumbani kwenu au wapendwa wenu wadhuriwe ili akili zenu zisiwe mchezoni

Kuweni makini pia mkiendesha magari barabarani..HAWA JAMAA NI MAFIOSO WENYE ROHO MBAYA SANA MSIJE KUSEMA HAMKUONYWA
 
Utopwinyo msimu wa mwaka jana walianza hivi hivi na wakaongoza ligi karibu robo tatu ya msimu,, na kama mnakumbuka simba walipoteza michezo miwili ya mwanzo mfululizo so msijali maneno yao hao jamaa,, uto ni ile ile kilichobadilika labda msukule tu
 
Narudia tena u kilema muwatie uwanjani kupitia hizo milioni 15 mnazomwaga huko mikoani ila please hizo plan za kuwadhuru nje ya uwanja achaneni nazo
Kama hizi taarifa unazo peleka polisi zitafanyiwa kazi hapa unaleta porojo tu.
 
Acha kuleta uchochezi hapa li timu lenu mwaka huu liko hovyo tu. Mbona kwenye ngao ya jamii mikia walicheza rafu sana na husemi ? Tulia, mwaka huu kazi mnayo. Mlizoea kutunziwa viporo mwaka huu hakuna kitu kama hicho.
Hivi hamuoni aibu kuita simba mikia watu tuloongoza ligi miaka 4 mfululizo? Mikia ni nyie
 
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf

Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile zilizolenga kutia u-kilema au kuua za Dodoma jiji ni rasharasha soon mtawekewa mitego ya kufumaniwa na mademu/wake za watu,mtatumiwa majambazi nyumbani kwenu au wapendwa wenu wadhuriwe ili akili zenu zisiwe mchezoni

Kuweni makini pia mkiendesha magari barabarani..HAWA JAMAA NI MAFIOSO WENYE ROHO MBAYA SANA MSIJE KUSEMA HAMKUONYWA
Nakubaliana nawe kwa 100% katika hili na tunajua Kiongozi Mmoja Mstaafu Kikatiba ndiyo anawapa Kiburi Yanga SC kwakuwa tu anammudu na ndiyo anamuongoza Kiongozi Kikatiba wa sasa.

Anawatumia baadhi ya Watendaji Waandamizi Serikalini wenye Uyanga kuweza Kufanikisha Mkakati na Umafia wote huu wa Kipumbavu dhidi ya Timu inayolindwa na imeshabarikiwa tayari na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.
 
Haaaahaaa kuimba ni kupokezana
Si umeona hadi Denis kibu baada ya kusajili tu simba keshaambiwa siyo mtanzania? sasa hdi Kim poulsen analalmika sababu anamhitaji sana pale stars..rafu against simba hadi uhamiaji huko na uchunguzi utachukua mwaka ili asicheze tu
 
Viporo ambavyo vilijaa ufisadi mkubwa/Simba mwaka huu mtakunywa maji kwenye kalai
Acha kuleta uchochezi hapa li timu lenu mwaka huu liko hovyo tu. Mbona kwenye ngao ya jamii mikia walicheza rafu sana na husemi ? Tulia, mwaka huu kazi mnayo. Mlizoea kutunziwa viporo mwaka huu hakuna kitu kama hicho.
 
Me mwenyewe nilidhani anatokea Namibia maana cyo kwa pua na weusi tii ule
Ukiacha fitina, inawezekana kuna ka ukweli fulani vile! Watanzania tunajuana. Yule dogo ukimuangalia kwa umakini, unaona kabisa ni wa nchi jirani.
 
Si umeona hadi Denis kibu baada ya kusajili tu simba keshaambiwa siyo mtanzania? sasa hdi Kim poulsen analalmika sababu anamhitaji sana pale stars..rafu against simba hadi uhamiaji huko na uchunguzi utachukua mwaka ili asicheze tu
Kumbe Taifa Star imemchezesha mchezaji wa kigeni kwanye timu ya Taifa.
Tujiandae kunyang'anywa pointi na kufungiwa na CAF.
Jinga sana Tanzania na Yanga.
 
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf

Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile zilizolenga kutia u-kilema au kuua za Dodoma jiji ni rasharasha soon mtawekewa mitego ya kufumaniwa na mademu/wake za watu,mtatumiwa majambazi nyumbani kwenu au wapendwa wenu wadhuriwe ili akili zenu zisiwe mchezoni

Kuweni makini pia mkiendesha magari barabarani..HAWA JAMAA NI MAFIOSO WENYE ROHO MBAYA SANA MSIJE KUSEMA HAMKUONYWA
Kwa yaliyotokea dodoma jana yaweza kweli kutokea haya.
 
Back
Top Bottom