CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Si umeona hadi Denis kibu baada ya kusajili tu simba keshaambiwa siyo mtanzania? sasa hdi Kim poulsen analalmika sababu anamhitaji sana pale stars..rafu against simba hadi uhamiaji huko na uchunguzi utachukua mwaka ili asicheze tuWanatumia nguvu nyingi sana kuwapoteza Simba.
Chonde chonde ndugu zangu rafu za uwanja zinatosha plan zenu za kutaka kuwadhuru vijana wetu nje ya uwanja muache jamani maana tayari uhamiaji wamewasaidia issue ya Kibu denis sasa huko mnapoelekea huo ni ungeseUkiamka hapo ukalete mkaa uje ubandike makande.
Hahahahahhaahhhah makolo fc Ni vima kabisa🤣🤣🤣🤣🤣Ukiwa na timu mbovu kila unayekutana nae unahisi anakamia
Narudia tena u kilema muwatie uwanjani kupitia hizo milioni 15 mnazomwaga huko mikoani ila please hizo plan za kuwadhuru nje ya uwanja achaneni nazoUkiwa na timu mbovu kila unayekutana nae unahisi anakamia
Acha kuleta uchochezi hapa li timu lenu mwaka huu liko hovyo tu. Mbona kwenye ngao ya jamii mikia walicheza rafu sana na husemi ? Tulia, mwaka huu kazi mnayo. Mlizoea kutunziwa viporo mwaka huu hakuna kitu kama hicho.Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini ndiye aliyekuwa anaifikisha simba mbali huko CAf
Hizi milioni 15 ni rasharasha tu na rafu zile zilizolenga kutia u-kilema au kuua za Dodoma jiji ni rasharasha soon mtawekewa mitego ya kufumaniwa na mademu/wake za watu,mtatumiwa majambazi nyumbani kwenu au wapendwa wenu wadhuriwe ili akili zenu zisiwe mchezoni
Kuweni makini pia mkiendesha magari barabarani..HAWA JAMAA NI MAFIOSO WENYE ROHO MBAYA SANA MSIJE KUSEMA HAMKUONYWA
Kutumiana vibaka baada ya kushindwa ndani ya uwanja miaka 4 ni uhalifu wa hali ya juuHahahahahhaahhhah makolo fc Ni vima kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Kama kweli wewe una ubinadamu nisaidie ku share hu ujumbe uwafikie wachezaji wa simba ili waaanze kuchukua tahadhari shidi ya MAJITU MAFIOSO yaliyojificha kwenye kivuli cha uana michezoEbu Simba waache visingizio wacheze mpira, ni kweli hakuna timu inayoweza kuwa kwenye fomu siku zote na kweli sasa tunaona uthibitisho wa hilo.
Ukiacha fitina, inawezekana kuna ka ukweli fulani vile! Watanzania tunajuana. Yule dogo ukimuangalia kwa umakini, unaona kabisa ni wa nchi jirani.Si umeona hadi Denis kibu baada ya kusajili tu simba keshaambiwa siyo mtanzania?
Simba ya msimu huu itapata point 1 au 3 uwanjani kwa mgongo wa penati, au kadi nyekundu pekee.Ebu Simba waache visingizio wacheze mpira, ni kweli hakuna timu inayoweza kuwa kwenye fomu siku zote na kweli sasa tunaona uthibitisho wa hilo.
Safari hii Simba mnacheza "pira makande" sio "pira biriani"Chonde chonde ndugu zangu rafu za uwanja zinatosha plan zenu za kutaka kuwadhuru vijana wetu nje ya uwanja muache jamani maana tayari uhamiaji wamewasaidia issue ya Kibu denis sasa huko mnapoelekea huo ni ungese
simba vs utopolo, kagera vs utopolo nenda kaangalie ball pocession halafu rudi hapa uniambie nani walikuwa wanakaa zaidi na mpira , pira makande ni utopwinyo hapo ndipo kwaoSafari hii Simba mnacheza "pira makande" sio "pira biriani"
Luc hakukosea kuwaita manyaniHahahahahhaahhhah makolo fc Ni vima kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Nyani katika ubora wakoChizi karogwa tena, malalamiko FC, KOLO kama KOLO