Wachezaji wa Simba wajilinde nje ya uwanja soon wanakodisha vibaka kuwadhuru

Mikia wanalialia tu..msimu huu tutaoneshana makali..sio msimu wa kuingia uwanjani na point zako tatu mfukoni
 
Timu ya Simba ni bora bado imecheza mechi nne
Tp mazembe
Yanga
Biashara
Dodoma jiji
Mechi zote hizo Simba kamiliki mpira zaidi ya asilimia 55 Sasa apo timu bovu liko wp
Mambo mengine tumia ubongo wako vizuri ndgu yangu
 
Ndoto za maruweruwe baada ya kukoswakoswa.😆
 
Tatizo wala s hao n marefa wakibongo, marefa wa kibongo bado Sana hovyo Sana Kama ile mirafu ya Dodoma jiji na biashara dhid ya simba tuna safari ndefu
 
Simba imeingiliwa mwaka huu. Ina vichaa wengi.
 
Chezini acheni mambo ya kike upigwe kwa mpira gani aswa
 
simba vs utopolo, kagera vs utopolo nenda kaangalie ball pocession halafu rudi hapa uniambie nani walikuwa wanakaa zaidi na mpira , pira makande ni utopwinyo hapo ndipo kwao
Hivi timu inayokaa sana na mpira hupewa pointi ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…