Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.

Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka.

Mutale leo kila anaposhika mpira anadondoka au anapokonywa kizembe kabisa

Mutale yule wa Power Dynamo sio huyu wa Simba

Mwingine ni Ahoua, mwingine ni Mukwala, hata Ateba atakuwa hivyo hivyo

Siku c nyingi Fernandez naye ataingia kwenye 18 za washirikina

Fabryce Mwamba Ngoma tayari cku nyingi ameshaingia kwenye chungu, hana tena maajabu.

Watu tunajiuliza Louis Micquisone huyu huyu alietoka Simba juzi t ndio anapasua anga UD Songo?

Basi utasikia msimu ujao wamemchukua wao na wanamfungulia password

Wachezaji wote walioachwa Simba msimu uliopita wanakiwasha kwenye timu zao mpya tena wengine wamesajiliwa kwa mahela mengi t

Walipokuwa Simba ama walikuwa majeruhi ama walikuwa vituko t uwanjani

Wachezaji hawa ni lazima Dua na kafara ifanyike vinginevyo hakuna kazi tena

Pia soma:Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba
Makala yao inaonyesha wazi tu hujui mpira umedandia mtumbwi wa vibwengo bila kujielewa ,,, ndugu mpira (1) hauitaji siasa (2) unaitaji kuongozwa na watu wanaoujua (3) haulazimishi kiwango alichotokanacho mchezaji kutoka timu A ni lazima kiendelee atakapokuja timu B (4)mwisho unahitaji mashabiki wanaojitambua au kuutambua mpira
 
Back
Top Bottom